Habari
MHE. SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO KAZI NA WATENDAJI WA OFISI YAKE PAMOJA NA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE ILI KUJIPANGA KIUTENDAJI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akifurahia Jambo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala bora, Bw. Xavier Daudi na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Hilda Kabissa mara baada ya kumalizika kikao kazi cha Mhe. Simbachawene na watendaji wa ofisi yake pamoja na taasisi zilizo chini ya ofisi yake kilichofanyika leo jijini Dodoma.