Habari
MHE. SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO KAZI NA WATENDAJI WA OFISI YAKE PAMOJA NA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE ILI KUJIPANGA KIUTENDAJI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akimuelekeza jambo Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi mara baada ya kumalizika kikao kazi cha Mhe. Simbachawene na watendaji wa ofisi yake pamoja na taasisi zilizo chini ya ofisi yake kilichofanyika leo jijini Dodoma. Wa pili kutoka kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete.