Habari
MHE. RIDHIWANI KIKWETE AKUTANA NA IDARA YA USIMAMIZI WA MAADILI IKIWA NI MWENDELEZO WA VIKAO KAZI VYAKE VYA KUHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA OFISI YAKE

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akipokea Mwongozo wa Mavazi kwa watumishi wa umma toka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Maadili, Bi. Leila Mavika mara baada ya Naibu Waziri huyo kuhitimisha kikao kazi chake na watumishi wa Idara hiyo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini Dodoma kwa lengo la kufahamu majukumu ya Idara hiyo na kuhimiza uwajibikaji.