Habari
MHE. RIDHIWANI AFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI MBALIMBALI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Halima Okash, Mkurugenzi wa H/Wilaya Chalinze Bw. Ramadhani Possi (Suti ya Kaki) na Mkurugenzi wa H/Wilaya Bagamoyo Bw. Shauri Serenda Msuya ofisini kwake Mtumba, Dodoma tarehe 24 Novemba, 2026
