Habari
MHE. NDEJEMBI AZITAKA TAASISI ZA UMMA KUISHIRIKISHA eGA KUTENGENEZA MIFUMO YA TEHAMA ILI ITOE HUDUMA BORA KWA UMMA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (katikati) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Mhandisi Benedict Ndomba (wa kwanza kulia) wakati akifafanua jambo kwa Naibu Waziri huyo alipotembelea ofisi ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini mkoani Iringa kwa lengo la kukagua utekelezaji wa majukumu na kuhimiza uwajibikaji.