Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. NDEJEMBI AZITAKA TAASISI ZA UMMA KUISHIRIKISHA eGA KUTENGENEZA MIFUMO YA TEHAMA ILI ITOE HUDUMA BORA KWA UMMA


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Mhandisi Benedict Ndomba (aliyesimama) akielezea majukumu ya taasisi yake kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (katikati) kabla ya Naibu Waziri huyo kuzungumza na watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini mkoani Iringa alipotembelea ofisi hiyo kwa lengo la kukagua utekelezaji wa majukumu na kuhimiza uwajibikaji.