Habari
MHE. NDEJEMBI AZITAKA TAASISI ZA UMMA KUISHIRIKISHA eGA KUTENGENEZA MIFUMO YA TEHAMA ILI ITOE HUDUMA BORA KWA UMMA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini mkoani Iringa alipotembelea ofisi hiyo kwa lengo la kukagua utekelezaji wa majukumu na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao.