Habari
MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI KUTOHOFIA KUELEZA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO ILI ZITATULIWE KAMA MHE. RAIS ALIVYOELEKEZA

Baadhi ya watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Lindi, Manispaa ya Lindi na wa taasisi za umma mkoani Lindi wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Lindi iliyolenga kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma.