Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. NDEJEMBI AWAASA WATUMISHI WA UMMA KUWAHUDUMIA VIZURI WANANCHI ILI KUJENGA TASWIRA NZURI YA SERIKALI KWA UMMA


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akisikiliza hoja iliyokuwa ikiwasilishwa na mtumishi wa Halmashauri ya Mji Njombe wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji, kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma na kukagua utekelezaji wa Miradi ya TASAF katika Halmshauri hiyo ya mji mkoani Njombe.