Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. NDEJEMBI AWAASA WATUMISHI WA UMMA KUWAHUDUMIA VIZURI WANANCHI ILI KUJENGA TASWIRA NZURI YA SERIKALI KWA UMMA


Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Mji Njombe wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji, kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao na kukagua utekelezaji wa Miradi ya TASAF katika Halmshauri hiyo mkoani Njombe.