Habari
MHE. NDEJEMBI AWAASA WATUMISHI WA UMMA KULINDA RASILIMALIFEDHA ZINAZOTOLEWA NA MHE. RAIS KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO

Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa halmashauri hiyo.