Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. NDEJEMBI ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA WALENGWA WA TASAF BAGAMOYO NA KUWATAKA KUSHIRIKI SENSA KUIWEZESHA SERIKALI KUWALETEA MAENDELEO ZAIDI


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akisisitiza jambo kwa walengwa wa TASAF wa Kijiji cha Nia Njema (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa shughuli za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Wilayani Bagamoyo.