Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. NDEJEMBI ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA WALENGWA WA TASAF BAGAMOYO NA KUWATAKA KUSHIRIKI SENSA KUIWEZESHA SERIKALI KUWALETEA MAENDELEO ZAIDI


Walengwa wa TASAF wa Kijiji cha Nia Njema wilayani Bagamoyo wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa shughuli za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Wilayani ya Bagamoyo.