Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. NDEJEMBI AKEMEA TABIA YA WIZI KWA WATUMISHI INAYOKINZANA NA DHAMIRA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN YA KUJENGA UADILIFU


Sehemu ya Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Jiji la Ilala   wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (aliyekaa meza kuu katikati), alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa Halmashauri hiyo ya Jiji.