Habari
MHE. NDEJEMBI AKEMEA TABIA YA WAAJIRI SERIKALINI KUFICHA BARUA ZA UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA ZILIZORIDHIWA NA MAMLAKA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na watumishi wa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji (hawapo pichani), akiwa katika ziara yake ya kikazi yenye lengo kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma walio katika halmashauri hizo.