Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. NDEJEMBI AADHIMISHA KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA KWA KUFANYA KAZI NA KUHIMIZA UTEKELEZAJI WA KAULIMBIU YA KAZI IENDELEE


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwashukuru walengwa wa TASAF Kijiji cha Naalarami Halmashauri ya Wilaya ya Monduli baada ya kumpongeza katika kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Naibu Waziri huyo wakati alipokuwa kwenye ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kwenye Halmashauri hiyo.