Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. NDEJEMBI AADHIMISHA KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA KWA KUFANYA KAZI NA KUHIMIZA UTEKELEZAJI WA KAULIMBIU YA KAZI IENDELEE


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akivalishwa vazi la Kimasai na walengwa wa TASAF wa Kijiji cha Naalarami Halmashauri ya Wilaya ya Monduli walipokuwa wakimpongeza kwa kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.