Habari
MHE.KIKWETE : TAALUMA YA UUGUZI NI YA KUJITOA NA YENYE UTHUBUTU

Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani ambaye pia ni Mganga Mkuu wa mkoa wa Pwani, Dkt. Gunini Kamba akizungumza na Wauguzi wa Mkoa wa Pwani kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani iliyofanyika kimkoa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.