Habari
MHE.KIKWETE : TAALUMA YA UUGUZI NI YA KUJITOA NA YENYE UTHUBUTU

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa na baadhi ya Viongozi na Wauguzi wakielekea katika Wodi ya Wazazi kwa ajili ya kuwajulia hali pamoja na kuwapatia zawadi mbalimbali kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kimkoa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.