Habari
MHE.KIKWETE : TAALUMA YA UUGUZI NI YA KUJITOA NA YENYE UTHUBUTU

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wauguzi mara baada ya kukabidhi zawadi mbalimbali kwenye Wodi ya Wazazi katika Hosiptali ya Chalinze ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Wauguzi Duniani iliyofanyika kimkoa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.