Habari
MHE.KIKWETE : TAALUMA YA UUGUZI NI YA KUJITOA NA YENYE UTHUBUTU

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akikabidhi zawadi kwa Mariam Moyo aliyejifungua katika Wodi ya Wazazi iliyopo katika Hospitali ya Chalinze mkoani Pwani ikiwa ni shamrashamara ya Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani iliyofanyika kimkoa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.