Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. KIKWETE AWASILI WILAYA YA SIKONGE MKOANI TABORA, AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KIKAZI KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora akiendelea na ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua, kuzindua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi katika Mkoa huo.