Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA TAARIFA ZA MUUNDO NA MAJUKUMU YA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA NA TAASISI ZILIZOPO CHINI YA OFISI HIYO ITAKAYOWASILISHWA KWENYE VIKAO VYA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi wa ofisi hiyo wakati wa kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma.