Habari
MHE. KIKWETE AFURAHISHWA NA UBUNIFU WA WALENGWA WA TASAF NA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA KWA KILIMO CHA KISASA

Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini, Mkoa wa Pwani, Mhe. Michael Mwakamo akitoa salamu za wananchi na watumishi wa jimbo lake kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.