Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. KIKWETE AFURAHISHWA NA UBUNIFU WA WALENGWA WA TASAF NA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA KWA KILIMO CHA KISASA


Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Nickson Simon akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.