Habari
MHE. KIKWETE AFURAHISHWA NA UBUNIFU WA WALENGWA WA TASAF NA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA KWA KILIMO CHA KISASA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na watumishi wa Mkoa wa Pwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.