Habari
MHE. KIKWETE AELEKEZA WARATIBU WA TASAF KATIKA HALMASHAURI KUPATIWA ELIMU YA KUWAHUDUMIA WALENGWA KWA UPENDO

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Bw. Ladislaus Mwamanga akiitambaulisha menejimenti ya taasisi yake kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.