Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE JENISTA AWATAKA WAJUMBE WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WATUMISHI NA WANANCHI KWA WAKATI KATIKA MAENEO YAO YA KAZI KAMA AMBAVYO SERIKALI IMEKUSUDIA


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma akieleza ajenda kuu ya Mkutano wa Tatu wa Baraza Kuu la Nne la Wafanyakazi Tanzania Bara kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) kabla ya Waziri huyo kufungua mkutano wa baraza hilo unaofanyika Mjini Morogoro.