Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. JENISTA AWATAKA VIONGOZI NA WATENDAJI SERIKALINI KUWAJIBIKA KIKAMILIFU ILI KUEPUSHA MIGOGORO SEHEMU ZA KAZI KWA USTAWI WA TAIFA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Arusha, Jiji na Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Arusha iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.