Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. JENISTA AWAAGIZA WATENDAJI KIJIJI CHA NAMANGULI WILAYANI NAMTUMBO KUWATAFUTIA FURSA ZA MAFUNZO YA UFUNDI WATOTO WA WALENGWA WA TASAF WALIOSHINDWA KUENDELEA NA MASOMO YA SEKONDARI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kijiji cha Namanguli, Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.