Habari
MHE. JENISTA ATOA WITO KWA WAKAZI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KURASIMISHA ARDHI ILI KUPATA MTAJI WA KUJENGA NYUMBA ZA WAGENI ZINAZOHITAJIWA NA WATALII

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mhe. Ayoub Mahmoud akitoa salamu za mkoa wake kabla ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kuzungumza na wajasiriamali na wafanyabiashara wa Mkokotoni, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa uzinduzi wa Kituo Jumuishi cha Urasimishaji na Uendelezaji wa Biashara, Zanzibar.