Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. JENISTA ATEMBELEA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE KUJIRIDHISHA NA UTOAJI WA HUDUMA KULINGANA NA FEDHA INAYOTOLEWA NA SERIKALI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya UONGOZI jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kujiridhisha na utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo kama unaendana na fedha iliyotolewa na Serikali kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023.