Habari
MHE. JENISTA ASISITIZA UTEKELEZAJI MKAKATI WA KUSHUGHULIKIA RUFAA ZA WATUMISHI NA WA KUZUIA ONGEZEKO LA MASHAURI YA KINIDHAMU

Naibu Katibu, Idara ya Rufaa na Malalamiko, Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. John Mbisso (aliyesimama) akitoa neno la shukrani mara baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kuhitimisha kikao kazi chake na menejimenti ya tume hiyo kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.