Habari
MHE. JENISTA ASISITIZA SUMA JKT KUZINGATIA VIWANGO VYA UBORA WAKATI WAKIKAMILISHA UJENZI WA JENGO LA OFISI YA KARAKANA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa Mkandarasi SUMA JKT kuhusu ukamilishaji wa ujenzi wa jengo la ofisi ya Karakana ya Wakala ya Ndege za Serikali alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo jijini Dar es Salaam.