Habari
MHE. JENISTA AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE IKIWA NI SEHEMU YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake.