Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. JENISTA AMTEMBELEA MAMA FATMA KARUME KUMJULIA HALI IKIWA NI SEHEMU YA KUTAMBUA MCHANGO ALIOUTOA KATIKA TAIFA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mama Fatma Karume alipomtembelea nyumbani kwake Bumbwini Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango alioutoa katika taifa.