Habari
MHE. JENISTA AMJULIA HALI MJANE WA HAYATI DKT. OMAR ALI JUMA ALIYEKUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiagana na mama Salma Omar mjane wa hayati Dkt. Omar Ali Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake.