Habari
MHE. JENISTA AKIZUNGUMZA KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA 10 WA CHAMA CHA KITAALUMA CHA MENEJIMENTI YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA TANZANIA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kufungua mkutano mkuu wa 10 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) jijini Arusha.