Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. JENISTA AKIFUATILIA MTOA HUDUMA WA KITUO CHA HUDUMA KWA MTEJA OFISI YA RAIS - UTUMISHI AKIMHUDUMIA MTUMISHI ALIYEPIGA SIMU


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (Wakwanza kulia) akifuatilia namna ambavyo mtoa huduma wa kituo cha huduma kwa mteja (Call Centre) wa Ofisi yake anavyotoa huduma kwa mteja aliyepiga simu kwa ajili ya kupata huduma.