Habari
MHE. JENISTA AIHIMIZA TGFA KUKAMILISHA UJENZI WA KARAKANA YA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM NA KUJIPANGA KWA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA OFISI NA KARAKANA YA NDEGE JIJINI DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiongoza kikao kazi chake na Menejimenti ya Wakala ya Ndege za Serikali jijini Dar es Salaam kilicholenga kuhimiza uwajibikaji.