Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. JENISTA AIHIMIZA TGFA KUKAMILISHA UJENZI WA KARAKANA YA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM NA KUJIPANGA KWA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA OFISI NA KARAKANA YA NDEGE JIJINI DODOMA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Menejimenti ya Wakala ya Ndege za Serikali wakati wa kikao kazi chake na menejimenti hiyo jijini Dar es Salaam kilicholenga kuhimiza uwajibikaji. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango Ofisi ya Rais-Ikulu, Bibi Ened Munthali.