Habari
MHE. JENISTA AELEKEZA VIKUNDI 450 VYA WALENGWA WA TASAF VYA AKIBA NA MIKOPO KUKOPESHWA FEDHA ZA HALMASHAURI ZISIZO NA RIBA MKOANI IRINGAI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kata ya Kitwiru, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.