Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. JENISTA AELEKEZA MIRADI YA TASAF YA AFYA NA ELIMU IKAMILIKE KWA WAKATI ILI ITOE MCHANGO KATIKA MAENDELEO YA TAIFA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwasisitiza viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Nyamagana juu ya ukamilishaji wa ujenzi mabweni ya Shule ya Sekondari Nyamagana wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF inayofadhiliwa na Umoja wa Nchi zinazosambaza Mafuta Duniani (OPEC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Nyamagana mkoani Mwanza.