Habari
MHE. JENISTA AELEKEZA MIRADI YA TASAF YA AFYA NA ELIMU IKAMILIKE KWA WAKATI ILI ITOE MCHANGO KATIKA MAENDELEO YA TAIFA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na viongozi na watumishi wa Mkoa wa Mwanza alipowasili mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF.