Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. JENISTA AELEKEZA MIRADI YA TASAF YA AFYA NA ELIMU IKAMILIKE KWA WAKATI ILI ITOE MCHANGO KATIKA MAENDELEO YA TAIFA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Malima wakifurahia jambo walipokuwa wakisikiliza taarifa ya utekelezaji wa miradi ya TASAF Wilaya ya Ilemela wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Jenista ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Mwanza