Habari
MHE. JENISTA AELEKEZA MIRADI YA TASAF YA AFYA NA ELIMU IKAMILIKE KWA WAKATI ILI ITOE MCHANGO KATIKA MAENDELEO YA TAIFA

Sehemu ya Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na Wananchi wa Mtaa wa Jiwe Kuu na Mihama, Kata ya Kitangiri, Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Mwanza.