Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. DKT. MHAGAMA ASISITIZA UHIFADHI SALAMA WA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA


Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia maelezo ya Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Bi. Rehema Mwiga (Wa kwanza kulia) kuhusu nyaraka mbalimbali zinazotunzwa katika ghala hilo wakati wa ziara ya kikazi ya kamati hiyo ilipotembelea Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.