Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MFUMO MPYA WA KUPIMA UTENDAJI KAZI KUBAINI MIKOA NA HALMASHAURI ZINAZOONGOZA KUKWEPA KUTOA UFAFANUZI WA MASUALA YA KIUTUMISHI


 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa ofisi yake, Wanasheria na Maafisa Utumishi wa Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri za Wilaya, mara baada ya kufungua kikao kazi cha maafisa hao kilicholenga kuzitafutia ufumbuzi changamoto za utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma na kanuni zake.