Habari
MFUKO WA UWEKEZAJI WA PAMOJA WA ‘FAIDA FUND’ UMELENGA KUWANUFAISHA WATANZANIA WA KIPATO CHA CHINI, KATI NA CHA JUU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifuatilia Makala fupi inayoelezea namna mfumo wa FAIDA FUND unavyofanya kazi. Wengine ni Viongozi mbalimbali na wadau wa Watumishi Housing Investiments (WHI).