Habari
MAHITAJI YA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA UMMA KUAINISHWA KWA KUZINGATIA MABADILIKO YA KIUTENDAJI, TEKNOLOJIA NA VIPAUMBELE VYA SERIKALI

Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Dkt. Edith Rwiza, akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi cha kujadili maeneo muhimu yenye uhitaji wa mafunzo kwa watumishi wa umma kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini Dodoma.